DARASA UK.7

 

DARASA UK.7

 

 

WANAFUNZI WA KRISTO: 

Mafundisho ya Neema na Kweli ya Kristo

 

 

Prophet Joachim Francis

...KUTOKA UK. 6

.

Warumi 10:17 – ‘Basi imani, chanzo chake ni kusikia; na kusikia huja kwa neno la Kristo.’

Kwa hiyo, kufanyika kuwa kiumbe kipya ni ‘INJILI YA KRISTO’ injili ya kristo ndio inayoleta ‘IMANI’ au niseme ndiyo inayomfanya mwanadamu ampendeze MUNGU.

Injili hizi zote hazifanani na zina ujumbe wake tofauti kabisa. Sasa, inategemea ulipokea injili gani kati ya hizo na matokeo ya hizo injili ni wokovu! Na wokovu unategemeana, kuna wokovu wa rohoni na wa mwilini. Wokovu huo unatofautiana kwa matokeo yake kwa kutegemeana na aina ya injili uliyoipokea kwa sababu wokovu hauji pasipo kusikia na kuamini.

‘kuna kuhubiri INJILI YA MSALABA’

‘kuna kuhubiri INJILI YA KRISTO’

‘Kuna kuhubiri INJILI YA UFALME WA MUNGU’

‘Kuna kuhubiri UFALME WA MUNGU’

Tupo darasani kwa hiyo, niombe mnipe uhuru wa kueleza mambo kama Msomi na Mchambuzi wa neno la Mungu...Ili uwe kiumbe kipya, inategemeana na aina ya mahubiri uliyopokea na kuyaamini.

Kwa hiyo, niliishia kusema mtu hawezi kumpokea Roho Mtakatifu kama hajafanyika kuwa kiumbe kipya.Labda nianze na tafsiri ya kiumbe kipya. ‘Kiumbe kipya ni KRISTO anayeumbika ndani yetu baada ya kuiamini habari njema.’

Dhambi Kama Matokeo na Dhambi Kama Asili:

Hili somo litatufikisha kwenye Topic ya DHAMBI na hapo ndipo nitaeleza kwa upana dhambi katika mitazamo miwili mikubwa.

Kwa hiyo, ninachotaka kufundisha leo ni muendelezo wa pale nilipoishia na kinahusu ‘KUFANYIKA KIUMBE KIPYA.’

Warumi 8:9 – ‘Lakini ikiwa Roho wa Mungu anakaa ndani yenu, ninyi hamwufuati mwili; bali mwaifuata roho. Lakini mtu awaye yote asipokuwa na Roho wa Kristo, huyo si wake.’

2 wakorinto 5:17 – ‘Hata imekuwa, mtu akiwa ndani ya Kristo amekuwa kiumbe kipya; ya kale yamepita tazama! Yamekuwa mapya.’

Lakini huwezi kupata uwezo kutoka kwa Roho wa Mungu / Roho Mtakatifu kama ‘hujafanana na Kristo au kuwa kiumbe kipya’... Roho Mtakatifu ni roho wa Mungu na Kristo pia ni roho wa Mungu tofauti ni kwamba, Roho Mtakatifu ni roho atokae kwa Mungu kama msaidizi wetu na Kristo ni nafasi ya uhalisia wa umoja wetu na Mungu unapotokea pale mwanadamu anapoelewa umoja wake na Mungu kama chanzo cha maisha yake...hapo ndipo mwanadamu anakuwa kiumbe kipya kwa kuwa ndani ya Kristo!

10/2/19, 19:42 - PROPHET:  Na nikakazia sana kusema kuwa hivi vitu vimefanyika kiroho katika ulimwengu wa roho na ili viwe na uhalisia kwako lazima uelewe na uamini... Huwezi kuamini pasipo kuelewa...na huwezi kuelewa pasipo kufundishwa na kuyashika haya mafundisho.

10/2/19, 19:41 - Slivia: Shalom!

10/2/19, 19:38 - PROPHET: Niliishia kufundisha kuhusu matumizi, umuhimu na maana iliyo nyuma  ya jina la Yesu. ‘Nikaeleza jambo moja kuwa, sisi tumekuwa ndani ya Kristo’...na Kristo yupo ndani ya Mungu katika ulimwengu wa roho.

10/2/19, 19:37 - PROPHET: added Profet Daniel.

10/2/19, 19:22 - PROPHET:  Natumaini mpo salama Naendelea na somo pale nilipo ishia.

10/2/19, 19:19 - +255 719 513 9**: Shalom…

10/2/19, 19:14 - +255 766 919 8**: Shalom…

10/2/19, 19:10 - PROPHET:  Shalom shalom!

10/2/19, 11:03 - +255 719 513 9**: Pole kwa majukumu Mungu akutie nguvu.

10/2/19, 11:02 - +255 719 513 9**: Mungu yu mwema

10/2/19, 11:02 - +255 719 513 9**: Shalom!

10/2/19, 10:44 - +255 754 486 0**: Shalom!

10/2/19, 10:10 - Vesta: Shalom!

10/2/19, 09:25 - PROPHET: Amina.

10/2/19, 09:25 - Slivia: Amina namtukuza Bwana!

10/2/19, 09:23 - PROPHET: Jana nilibanwa kidogo.

10/2/19, 09:23 - PROPHET: Mmeamkaje leo!

10/2/19, 09:23 - PROPHET: Shalom shalom!

10/1/19, 16:42 - PROPHET: added Slivia.

10/1/19, 09:45 - +255 719 513 9**: Amen

10/1/19, 09:14 - +255 713 626 4**: sawa kabisa, tunasubiria.

10/1/19, 08:51 - +255 763 194 9**: Amina…

10/1/19, 08:35 - +255 719 513 9**: Shalom!

Sasa nitaeleza kwa upana zaidi kwa sababu nilichoeleza bado kipo upande mmoja tu na tunajifunza neno la Mungu ili pia tuje kuwa walimu wazuri kwa wengine.

10/1/19, 08:20 - PROPHET:  Leo nitaendelea na mafundisho.Nitendelea na somo la jana na pia nitakuja kugusia hadi swali la jana nililokuwa na jibu kwa sababu majibu yalikuwa bado yanaleta maswali mengine kuhusiana na dhambi.

10/1/19, 08:14 - +255 714 414 1**: Mungu ni mwema!

10/1/19, 08:12 - PROPHET:  Natumaini mmeamka vizuri…

10/1/19, 08:12 - PROPHET: Shalom shalom!

9/30/19, 21:38 - +255 766 919 8**: Amen

Nitaligusia hili somo lijalo kwa sababu nimejibu swali katika mtazamo mmoja somo lijalo nitaweka majibu yote kwa sababu somo litagusia pia swali lililo ulizwa la dhambi.

[19]Kila mti usiozaa tunda zuri hukatwa ukatupwa motoni.

[18]Mti mwema hauwezi kuzaa matunda mabaya, wala mti mwovu kuzaa matunda mazuri.

[17]Vivyo hivyo kila mti mwema huzaa matunda mazuri; na mti mwovu huzaa matunda mabaya.

9/30/19, 21:35 - PROPHET: Mathayo 7:17-19 -

9/30/19, 21:19 - +255 763 194 9**: Amen! Mtumishi ahsante kwa mafundisho mazuri, MUNGU wa mbinguni akubariki!

9/30/19, 21:14 - +255 766 919 8**: Ooh okey…

9/30/19, 21:13 - PROPHET: Warumi 5:13 – ‘maana kabla ya sheria dhambi ilikuwamo ulimwenguni, lakini dhambi haihesabiwi isipokuwapo sharia…’ Sheria za Mungu zilikuwepo ili kumuongoza mwanadamu kwa Kristo.

9/30/19, 21:08 - +255 766 919 8**: Sheria za Mungu zipo kwa ajili ya Nini?

Hao wote unaowaona kuwa ni wadhambi Mungu hawaoni hivyo. Anawaona ni watakatifu wasiojitambua tu.

Sasa changamoto ni kwamba watu hawafundishwi huu ukweli kuwa Mungu hamkasirikii mtu yeyote kwa sababu ya Yesu.

Ila ukiiba hapa duniani unaweza chomwa moto, ingawa utarudi kwa Mungu salama.

Hiyo gharama ndio aliyoingia Yesu ili makosa yetu hapa duniani yasitufarakanishe na Mungu.

Kwa sababu unachopanda mwilini utavuna mwilini.

9/30/19, 21:02 - PROPHET: Yanahasara mwilini…

9/30/19, 21:02 - +255 766 919 8**: Katika kukuwa kiroho namaanisha.

9/30/19, 21:01 - +255 766 919 8**: Matendo ya mwili hayana hasara yoyote kiroho.

Unaweza okoka ukakosa maarifa yatakayo kufanya uishi vizuri huo wokovu.

Kwa hiyo, kupitia yeye sisi sio wadhambi tena ...tumehesabiwa haki...sasa haya mambo ni ya kiroho jamani… Ukimuona mtu ameokoka anafanya vitu vya ajabu ujue kuwa amekosa tu maarifa sio kwamba hajaokoka huyo.

9/30/19, 20:54 - PROPHET: Hakuna kitu unachoweza kukifanya mwilini ukasema ni dhambi kwa sababu dhambi sio matendo. Yesu alikuja ili hiyo dhambi ambayo ndio asili ya mapungufu na udhaifu wa mwanadamu katika tabia yake ya asili iondoke. Yesu alikuja kuondoa dhambi na akafanikiwa.

9/30/19, 20:53 - +255 766 919 8**: Kwa hyo dhambi inayo sababishwa na mwili si dhambi?

Na kusulubisha hapo sio kujitesa.

Kwa ufupi ni kwamba, ameokoka, ndio, ila bado yupo mwilini hajahama kutoka mwilini kuingia rohoni.Ili matendo ya mwilini yafe ni lazima usulubishe mitazamo yako ya kimwili isiyo ya kiroho ili uishi kama mtu wa kiroho hapo ndipo matendo ya mwilini yataisha yote.

Warumi 12:2 – ‘Wala msiifuatishe namna ya dunia hii; bali mgeuzwe kwa kufanywa upya nia zenu, mpate kujua hakika mapenzi ya Mungu yaliyo mema, ya kumpendeza, na ukamilifu.’

Kwa hiyo, huyo mtu anachohitaji ni kuifanya upya akili yake kupitia neno la Kristo, aamini kuwa yeye sio mdhambi.

9/30/19, 20:49 - PROPHET: Kwa mtu kuendelea katika hali ya dhambi ni kwamba bado akili yake ipo kwenye mfumo wa mtu wa asili wa dhambi ingawa roho yake imefanyika kiumbe kipya.

9/30/19, 20:48 - +255 763 194 9**: Ooook!

9/30/19, 20:47 - PROPHET: Kwa sababu kinachookoka ni roho ya mtu, sio nafsi.

9/30/19, 20:47 - +255 763 194 9**: Mmmh!

9/30/19, 20:46 - PROPHET: Ukiona mtu anasema ameokoka na bado anafanya matendo yanayoashiria kuwa bado yupo dhambini, haimaanishi kwamba huyo mtu hajaokoka. Ni kwamba, hajapata uelewa na maarifa ya kutosha ya kujuwa kuwa yeye sio mdhambi.

9/30/19, 20:46 - +255 763 194 9**: Sawa.

Sitaki niizungumzie hiyo sana, nirudi kwenye swali.

Ukisema Yesu aliishinda dhambi ni kwamba alishinda matokeo au matunda ya dhambi ambayo ni mauti.

Ndio maana Yesu alizaliwa na bikira kuonyesha ya kuwa hakutoka kwa mwanadamu. Huyo ndiye aliye ishinda dhambi kwa sababu hakuzaliwa na dhambi, akafanyika dhambi ili awakomboe waliochini ya dhambi.

9/30/19, 20:41 - PROPHET: Sasa, hakuna anayezaliwa na mwanamke anayeweza kushinda dhambi, hakuna!

9/30/19, 20:41 - +255 763 194 9**: Ooooh!

Kama dhambi sio matendo na ni utendaji kazi wa mapungufu na udhaifu inamaana ukisema mtu ameishinda dhambi humaanishi ya kwamba ameacha kufanya matendo ya mwilini! Kwa sababu matendo ya mwilini ni matokeo ya huo udhaifu na upungufu, unamaanisha ametoka kwenye mfumo unaosababisha huo udhaifu utokee.

9/30/19, 20:37 - PROPHET: Biblia imeiita utendaji kazi wa hayo mapungufu SHERIA YA DHAMBI.

9/30/19, 20:36 - +255 763 194 9**: Amen tuko pamoja…

Bado sijajibu swali nilikuwa naeleza maana ya dhambi kwanza ili nikujibu swali upate ufahamu kamili.

[21] ‘husuda, ulevi, ulafi, na mambo yanayofanana na hayo, katika hayo nawaambia mapema, kama nilivyokwisha kuwaambia, ya kwamba watu watendao mambo ya jinsi hiyo hawataurithi ufalme wa Mungu.’

‘ibada ya sanamu, uchawi, uadui, ugomvi, wivu, hasira, fitina, faraka, uzushi,’

Wagalatia 5:19-21 - [19] ‘Basi matendo ya mwili ni dhahiri, ndiyo haya, uasherati, uchafu, ufisadi,’

Warumi 7:17,21,23 - (17) ‘Basi sasa si mimi nafsi yangu ninayetenda hilo, bali ni ile dhambi ikaayo ndani yangu.’ [21]Basi nimeona sheria hii, ya kuwa kwangu mimi nitakaye kutenda lililo jema, lipo lililo baya. [23] Lakini katika viungo vyangu naona sheria iliyo mbali, inapiga vita na ile sheria ya akili zangu, na kunifanya mateka wa ‘ile sheria ya dhambi iliyo katika viungo vyangu.’

Matokeo ya mapungufu na udhaifu huo ndio unaitwa MATENDO YA MWILINI. Hadi hapo nadhani tupo pamoja.

Adamu alipokosea kilichotokea ni kwamba mfumo huo ulikuwa corrupted ukaruhusu mapungufu na udhaifu utokee. Sasa, mapungufu na udhaifu huo ndio unaitwa DHAMBI.

Mungu aliwaumba wanadamu waishi kupitia tabia asili za miili yao hapa duniani kwa makusudi yake yanayotimilizwa na mfumo aliyouweka.

Dhambi inaingiaje hapo? Dhambi hapo ni uasi wa mfumo wa kiasili uliingia kwenye uumbaji unaoruhusu mapungufu na udhaifu ujitokeze kwenye utendaji kazi wa tabia asili ya mwanadamu.

Nazungumzia matendo ya mwilini au tabia ya asili. Mfano...kusikia njaa ni asili ya mwanadamu. Kushindwa kujizuia unaposikia njaa ni tabia anayojenga mtu mwenyewe. Sasa, kushindwa kujizuia kwako unaposikia njaa kunaweza kukupelekea kufanya matendo ya mwilini yaliyo nje ya uwezo wako wa kufikiri kwa sababu ni tabia uliyoijenga wewe mpya ambayo chimbuko lake ni tabia ya asili yako kama mwanadamu.

Niseme hivi, inategemeana na uelewa wa mtu kuhusiana na dhambi.Acha niweke hivi, dhambi sio matendo. Kuna kitu kinaitwa MATENDO YA MWILINI AU TABIA YA ASILI.Ipo hivi, mtu anaweza kurithi tabia...na mtu pia anaweza akajenga tabia kutokana na hali anazopitia na mazingira aliyopo.

9/30/19, 20:14 - PROPHET: Swali zuri. Najibu kama ifuatavyo:

9/30/19, 20:03 - +255 763 194 ***: Sorry mtumishi, hivi inakuwaje unakuta mtu ni Mlokole anahudhuria kanisani kila siku, ananena kwa lugha anapokuwa kanisani ila hana uwezo wa kushinda dhambi katika maisha yake ya kila siku?

9/30/19, 19:54 - +255 763 194 9**: Oooh! Sasa nimeelewa!

9/30/19, 19:50 - PROPHET: Shalom! Nitaendelea kufundisha....natumaini Mtakuja na maswali kutokana na somo hili…

9/30/19, 19:50 - PROPHET: Utaratibu ni kwamba, lazima uwe kwanza kiumbe kipya ndio upate msaada kutoka kwa Roho Mtakatifu kwa sababu Roho Mtakatifu anafuata waliowake.

9/30/19, 19:51 - PROPHET: added +255 654 333 5**

Usipoelewa uhusiano wako na Mungu kwa mtazamo huo huwezi mpokea Roho Mtakatifu kwa sababu Roho Mtakatifu hasaidii wale ambao bado hawana roho ya Kristo ndani yao, haiwezekani.

‘Ufunuo kuhusu uhusiano huo unaleta ushirika kamili na Yeye hapa duniani kupitia Roho Mtakatifu.’

Kwa hiyo, matokeo ya kutumia jina la Yesu inategemeana na uelewa wako kuhusiana na nafasi ya umoja na Mungu ambayo Yesu aliingia gharama kuturudishia ...nafasi hiyo ni ‘MAHUSIANO’ na ‘MUNGU KATIKA KRISTO KWENYE ULIMWENGU WA ROHO.’

Warumi 8:9n- ‘Lakini ikiwa Roho wa Mungu anakaa ndani yenu, ninyi hamuufuati mwili; bali mwaifuata roho. Lakini mtu awaye yote asipokuwa na Roho wa Kristo, huyo si wake.’

2 wakorinto 5:17 – ‘Hata imekuwa, mtu akiwa ndani ya Kristo amekuwa kiumbe kipya; ya kale yamepita tazama! Yamekuwa mapya.’

Lakini huwezi kupata uwezo kutoka kwa Roho wa Mungu / Roho Mtakatifu kama ‘hujafanana na Kristo au Kuwa kiumbe kipya’... Roho Mtakatifu ni roho wa Mungu na Kristo pia ni roho wa Mungu tofauti ni kwamba Roho Mtakatifu ni roho atokae kwa Mungu kama msaidizi wetu na Kristo ni nafasi ya uhalisia wa umoja wetu na Mungu inapotokea pale mwanadamu anapoelewa umoja wake na Mungu kama chanzo cha maisha yake...hapo ndipo mwanadamu anakuwa kiumbe kipya kwa kuwa ndani ya Kristo!

Warumi 8:11 - [11] ‘Lakini, ikiwa Roho yake yeye aliyemfufua Yesu katika wafu anakaa ndani yenu, yeye aliyemfufua Kristo Yesu katika wafu ataihuisha na miili yenu iliyo katika hali ya kufa, kwa Roho wake anayekaa ndani yenu.’

Aliyewezesha yote hayo ni Roho Mtakatifu ambaye ndio roho wa Mungu...kwa hiyo, unapoita jina la Yesu kwa ufunuo na uelewa huo roho aliyemfumfua Kristo atakuwezesha kutenda jambo lililosambamba na mapenzi ya Mungu...uwezo huo au nguvu hiyo itakuja ndani yako kupitia roho wa Kristo aliye ndani yako.

Ufunuo wa hilo jina maana yake ni wewe kuelewa ORIGIN YAKO / MWANZO WAKO / CHANZO CHAKO cha uhai na maisha ni ndani Ya ROHO WA KRISTO aliye ndani ya Mungu.

9/30/19, 19:36 - PROPHET: Mahali pamuhimu pa kuelewa kuhusiana na nguvu iliyopo katika jina la Yesu ni kuelewa maana halisi ya hilo jina...na maana halisi ya hilo jina ndio ufunuo wenyewe wa hilo jina.

Najua ni maneno haya sio rahisi kuelewa mara moja ila pitia mara mbili mbili ili uelewe…

[28] ‘Basi, vitu vyote vikiisha kutiishwa chini yake, ndipo Mwana mwenyewe naye atatiishwa chini yake yeye aliyemtiishia vitu vyote, ili kwamba Mungu awe yote katika wote.’

[27] ‘Kwa kuwa, Alivitiisha vitu vyote chini ya miguu yake. Lakini atakaposema, vyote vimetiishwa, ni dhahiri ya kuwa yeye aliyemtiishia vitu vyote hayumo.’

1wakorinto15:27-28 -

Kwa hiyo, alifufuka kama roho ambaye ndiyo ‘KRISTO’ aliyemfumfua Kristo ni ROHO MTAKATIFU wakati KRISTO anafufuliwa na Roho Mtakatifu, sisi tulifufuliwa pamoja naye katika Yeye sio nje ya yeye....hapo ndipo nilipotaka muelewe kwa umakini...tumefufuliwa katika ulimwengu wa roho ndani yake halafu KRISTO ndio akaketishwa katika upande wa Kuume wa Mungu...nikisema upande wa kuume wa Mungu namaanisha Kristo sasa alipatanisha kila kitu na Mungu Ndani ya Mungu vikiwa ndani yake Kristo!...

[50] ‘Ndugu zangu, nisemayo ni haya, ya kuwa nyama na damu haziwezi kuurithi ufalme wa Mungu; wala uharibifu kurithi kutokuharibika.’

[45] ‘Ndivyo ilivyoandikwa, Mtu wa kwanza, Adamu, akawa nafsi iliyo hai; Adamu wa mwisho ni roho yenye kuhuisha.’

[44] ‘hupandwa mwili wa asili; hufufuliwa mwili wa roho. Ikiwa uko mwili wa asili, na wa roho pia uko.’

1 wakorinto 15:44-45, 50 -

9/30/19, 19:20 - PROPHET: Nilisema Jina ni ‘NAFASI’ ya kimamlaka iliyokuwa nyuma ya Yesu ambayo Yesu ndio alikuwa akiitumia...kilichobadilika baada ya kufufuka ni kwamba, cha kwanza, alifufuka kama ‘KRISTO YESU’ sio ‘YESU KRISTO,’ alifufuliwa kama roho.

Twende pole pole.

Waefeso 2:6 – ‘Akatufufua pamoja naye, akatuketisha pamoja naye katika ulimwengu wa roho, katika Kristo Yesu…’

Ili uone sasa matokeo ya hilo jina la Yesu unatakiwa uelewe kuwa Yesu alivyofufuka alifufuka pamoja nasi pia kiroho katika ulimwengu wa roho! Na kuwa tumeketishwa pamoja naye katika Kristo upande wa kuume wa Mungu.

Luka 10:22 - [22]Akasema, ‘Nimekabidhiwa vyote na Baba yangu,’ wala hakuna amjuaye Mwana ila Baba; wala hakuna amjuaye Baba ila Mwana, na ye yote ambaye Mwana apenda kumfunulia.

Tofauti ni kwamba, kabla hajafufuka alitumia hayo mamlaka kama mtu aliyekuwa ‘DELEGETED’ au kama mtu aliye tumwa au ‘MTUMWA / MTUMISHI’ kwa lugha nyepesi.

Na nikisema jina simaanishi jina alillokuwa akiitikia Yesu alivyokuwa akiitwa ....namaanisha ‘NAFASI YA MAMLAKA YA UTENDAJI’ ambayo ni sifa aliyopewa Yesu kabla na baada ya kufufuka.

Kwa sababu wengi wanachokijuwa ni kutaja tu jina la Yesu lakini uhalisia ni kwamba Yesu alipewa jina jipya kwa hiyo kwa mtazamo huo Yesu hakumaanisha tuite jina lake bali tuelewe kuwa yeye pia alipewa jina kwa hiyo, hilo jina sio lake ni alipewa kabla na hata baada ya kufufuka.

Sasa ili uweze kuona matokeo lazima uamini katika jina la Yesu...na ili uamini katika jina la Yesu lazima uelewe na kujuwa ufunuo na maana la hilo jina la Yesu.

Waebrania 12:2 – ‘tukimtazama Yesu, mwenye kuanzisha na mwenye kutimiza imani yetu; ambaye kwa ajili ya furaha iliyowekwa mbele yake aliustahimili msalaba na kuidharau aibu, naye ameketi mkono wa kuume wa kiti cha enzi cha Mungu.’

Alivyofufuka ndipo alipopewa nafasi mpya rasmi ya kukaa katika hayo mamlaka...kwa sababu biblia ikisema alifufuliwa inamaanisha aliinuliwa na kuketishwa upande wa kuume wa Mungu katika ulimwengu wa roho.

Yohana 5:43 ‘Mimi nimekuja kwa jina la Baba yangu’ wala ninyi hamnipokei; mwingine akija kwa jina lake mwenyewe, mtampokea huyo.

Yesu alitenda miujiza kupitia jina alilopewa kwa muda kama katika nafasi ya kukaimu mamlaka aliyopewa kabla hajafufuka.

Elewa kitu kimoja:

Kinachosababisha kila kitu kitii hilo jina ‘sio jina Yesu bali jina jipya alilo pewa Yesu.’

[10] ‘ili kwa jina la Yesu kila goti lipigwe, la vitu vya mbinguni, na vya duniani, na vya chini ya nchi;’

Wafilipi 2:9-10 - (9) Kwa hiyo tena Mungu alimwadhimisha mno, akamkirimia ‘Jina lile lipitalo kila jina;’

Kwa hiyo, jina la Yesu sio jina kama jina la kawaida ni NAFASI ambayo Yesu alipewa baada ya kufufuliwa.

Narudia tena...mamlaka na nguvu ipo kwenye jina la Yesu sio kutaja au kutamka Yesu...ukisema kwa jina la Yesu humaanishi kwa Yesu unamaanisha kwa jina lipitalo majina yote...

Fahamu kuwa Yesu alipewa ‘jina lipitalo majina yote’...kwa hiyo, kwa hilo jina ndio mamlaka yapo! Sio kutaja Yesu...

Nieleze kitu hapa kwa mapana muweze kupata ufahamu wa kutosha.

9/30/19, 18:26 - PROPHET: Ukisema unamwamini Yesu unaamini kile alishakwisha kufanya pale msalabani ambacho kazi yake na matokeo yake ni tofauti na jina la Yesu lenyewe.

9/30/19, 18:24 - PROPHET: added +255 766 919 8**

9/30/19, 18:23 - PROPHET: Jina la Yesu linafanyika Address kwetu kwa sababu ndio jina pekee tulilopewa kwa sisi kulitegemea na kuliamini ili tuokolewe ...sasa, kwa nini sisi tumepewa hilo jina? Na nataka tutambue kitu kimoja...kuna tofauti ya kusema unamwamini Yesu na kusema unaliamini jina la Yesu.

9/30/19, 18:19 - PROPHET: Nilikuwa nafundisha kuhusiana na jina la Yesu nikazungumza kuwa jina la Yesu ni address pekee ya sisi kumfikia Mungu na Mungu kutufikia.

9/30/19, 18:16 - PROPHET: Naendelea na mafundisho…

9/30/19, 18:16 - PROPHET: added +255 767 097 1**

9/30/19, 18:14 - PROPHET: added +255 714 823 3**

9/30/19, 18:14 - +255 763 194 9**: Shalom! Praise the Loard!

9/30/19, 18:13 - PROPHET: Shalom shalom!

9/30/19, 11:37 - +255 744 384 5**: Amen.

9/30/19, 11:35 - +255 763 194 9**: Amen

9/30/19, 11:35 - +255 719 513 9**: Amen

9/30/19, 11:32 - PROPHET: Sawa, leo mkae mkao wa kula neno…

9/30/19, 11:16 - +255 763 194 913: Namshukuru MUNGU muweza wa yote, nimeamka salama.

9/30/19, 11:14 - +255 754 486 0**: Shalom, wazima kabisa.

9/30/19, 11:14 - Vesta: Miye mzm kabisa…

9/30/19, 11:09 - PROPHET: Shalom! Natumaini sisi ni wazima.

9/30/19, 10:34 - +255 744 384 5**: Shalom beloved brothers and sisters in the Lord. Good messages here, praise God.

9/30/19, 10:30 - +255 767 520 7**: Shalom

9/30/19, 10:29 - +255 719 513 9**: Shalom

9/30/19, 10:22 - +255 714 414 1**: Shalom

9/30/19, 10:16 - Vesta: Shalom…

9/29/19, 23:37 - +255 754 486 0**: Amina mtumishi…

9/29/19, 20:06 - +255 763 194 9**: its ok then! We are waiting for you!

9/29/19, 20:02 - PROPHET: Kesho nitaendelea kufundisha,

9/29/19, 19:56 - +255 763 194 9**: Ameen!

9/29/19, 19:55 - PROPHET:   Amina, Mungu atakuinua sana kwa hilo… Akutie nguvu Zaidi.

9/29/19, 19:41 - +255 763 194 9**: Amen MUNGU wa mbinguni akubariki hata mimi ninakuombea pia kwa sababu ninajuwa hata nyinyi watumishi mnatafutwa sana na mapito yenu ni makubwa na makali! MUNGU akutie nguvu…

9/29/19, 19:35 - PROPHET: Vizuri, nawaombea!

9/29/19, 19:34 - +255 763 194 9**: Shalom! We thank God for His blessings!

9/29/19, 19:28 - PROPHET: Shalom! Shalom! Mnaendeleaje?

9/28/19, 21:31 - PROPHET: Aminaa!

9/28/19, 21:29 - +255 763 194 9**: Shalom shalom mtumishi, MUNGU akubariki sana. MUNGU akutunze…

9/28/19, 21:29 - +255 754 650 6**: Amen, barikiwa sana mtumishi.

Shalom!

Ukiwa na huo mtazamo, utatembea na Mungu wa kweli na sio wa kubahatisha!

Kabla hujaingia kwenye hilo jengo kesho kushiriki ibada lazima tayari ibada iwe imeanza moyoni mwako toka nyumbani...kwa sababu ibada ni ya kiroho na sio ya kimwili.

Kabla hujaanza kuita jina la Yesu kwenye kinywa, litatakiwa kwanza hilo jina lianzie kufurukuta moyoni mwako. Kwa sababu imeandikwa, usilitaje bure jina la Bwana Mungu wako!

Sio wa rohoni. Kama hukuweza kuzungumza na Mungu kuanzia Jumatatu hadi Jumamosi, kinachokufanya uamini utazungumza naye kesho ni hisia… Na sio roho. Kwa sababu Ibada sio mazoea. Ibada ni tabia inayoanzia moyoni na rohoni; sio mwilini.

9/28/19, 21:22 - PROPHET: Sijui mnanielewa? Mungu anayetafutwa kila Jumapili tu ni Mungu wa mwilini…

Hayo ni mazoea… Ibada ni tabia ambayo huvai tu kama nguo kila Jumapili. Mtazamo sahihi wa ibada ni kila dakika kila saa katika roho na kweli.

Na najuwa mnajiandaa kimazoea kwenda kusali… Hutakiwi kusali tu siku ya Jumapili…

9/28/19, 21:19 - PROPHET: Moyo wa ibada… Ndio nataka niuzungumzie kwa ufupi. Kwa sababu kesho ni Jumapili.

9/28/19, 21:19 - +255 754 650 6**: Shalom

9/28/19, 21:19 - +255 714 414 ***: Shalom

9/28/19, 21:18 - +255 763 194 9**: Shalom

9/28/19, 21:16 - PROPHET:Shalom watoto wa Mungu…

9/28/19, 12:44 - +255 658 999 6**: Amen

9/28/19, 05:04 - +255 744 384 5**: Amen! Glory be to God.

9/27/19, 22:47 - +255 763 194 9**: Amina.

9/27/19, 22:45 - PROPHET: Aminaaaaa nafurahi kusikia hivyo…

9/27/19, 09:59 - +255 763 194 9**: Ahsante sana mtumishi,nimebarikiwa sana,kwa mafundisho haya unayotupatia ni hakika nazidi kuifahamu kweli;  nazidi kufunguliwa. HAKIKA NINAENDELEA KUWA HURU KWELI KWELI! JINA LA BWANA WETU YESU KRISTO WA NAZARETI LITUKUZWE MILELE! AMINA…

9/27/19, 08:46 - +255 754 486 0**: Asante Rafiki nami nijifunze neon.

9/27/19, 08:26 - +255 713 626 4**: karibu rafiki.

9/27/19, 08:14 - PROPHET: added +255 754 486 0**

9/27/19, 08:10 - +255 713 626 4**: asante ubarikiwe

Nitaendelea kufundisha kuhusiana na jina la Yesu na namna jina la Yesu lilivyo mlango kwetu kupokea kutoka kwa Mungu.

[10] ‘ili kwa jina la Yesu kila goti lipigwe, la vitu vya mbinguni, na vya duniani, na vya chini ya nchi;’

Wafilipi 2:9-10 - (9) Kwa hiyo tena Mungu alimwadhimisha mno, akamkirimia ‘Jina lile lipitalo kila jina;’

Ukielewa, hakuna namna unavyoweza kumfikia Mungu pasipo jina la Yesu; mtazamo wako katika kuomba na kuwasiliana na Mungu utabadilika na utakuwa na mtazamo sahihi wa namna ya kuomba nayo ni kupitia jina la Yesu tu!

Yohana 14:13 – ‘Nanyi mkiomba lo lote kwa jina langu, hilo nitalifanya, ili Baba atukuzwe ndani ya Mwana.’

[24] ‘Hata sasa hamkuomba neno kwa jina langu; ombeni, nanyi mtapata; furaha yenu iwe timilifu.’

Yohana 16:23-24 - [23] ‘Tena siku ile hamtaniuliza neno lo lote. Amin, amin, nawaambia, Mkimwomba Baba neno lo lote atawapa kwa jina langu.’

Ni kupitia kutumia jina la Yesu kwa kuamini na kuelewa nguvu na ufunuo uliopo nyuma ya jina hilo ndio utaona matokeo na uwezo wa hilo jina ukilitumia.

Sasa jina la Yesu ndio ‘ADDRESS’ Pekee Yesu aliyotuachia kumfikia Mungu.

Tumebaki na Roho Mtakatifu...tumebaki na jina la Yesu.

Kwa sababu Yesu alikufa, akaondoka, tumebaki na mambo mawili tu:

Kwa sababu wengi leo wanatumia jina la Yesu pasipo kuliamini hilo jina la Yesu. Wanalitumia jina la Yesu kwa hisia zao na sio kwa kuamini! Nikisema sio kwa kuamini katika jina la Yesu; namaanisha mtumiaji wa jina hilo hana uelewa kamili na wakutosha kuhusiana na nguvu iliyopo katika jina la Yesu...na kwa sababu haelewi, hawezi litumia jina la Yesu kwa Imani, hivyo, hawezi pata matokeo kupitia hilo jina.

9/26/19, 21:50 - PROPHET: Ukishalielewa hilo, unachotakiwa kuelewa sasa ni namna ya kuachilia kuamini kwako kupitia jina la Yesu ili kupokea kile unachokitaka kutoka kwa Mungu.

9/26/19, 21:49 - +255 754 650 6**: Shalom!

Huo ni mtazamo wa kwanza wa kuamini umepatanishwa na Mungu kwa kusamehewa dhambi na kutakaswa! Haijalishi unamadhaifu kiasi gani...haijalishi umefanya makosa mangapi au kunamakosa bado unafanya...uhalisia na ukweli ni kwamba, katika mpango na mapenzi ya Mungu ni kuwa ameshakusamehe na ameshakutakasa! Unachotakiwa ni kuamini uhalisia huo na ukweli huo...kwa kuamini ukweli huu ndipo utakapopata neema ya kuishi maisha ya utakaso kama mtakatifu aliyepokea haki ya Mungu kwa kuamini kazi aliyokwisha ifanya Bwana wetu Yesu Kristo.

Kwa hiyo, kama unaamini bado wewe ni mdhambi, hustahili kupokea kitu kutoka kwa Mungu na hata maombi unayo omba hayafiki popote kwa sababu hujaamini kile Mungu alichokwisha kukufanyia kupitia Yesu Kristo!

Upatanisho wako ulitokea kupitia Yesu kwa msamaha na ondoleo la dhambi!

Ni muhimu kuelewa na kuamini mfumo wa MLANGO huu uliowekwa kati yako na Mungu au kipatanisho chako kati yako na Mungu. Usipoelewa upatanisho wako na Mungu ulitokeaje na nani aliusababisha, itakuwa ni ngumu sana kumuamini Mungu!

Waebrania 10:10, 12, 14 - [10] ‘Katika mapenzi hayo mmepata utakaso, kwa kutolewa mwili wa Yesu Kristo mara moja tu.’ [12] ‘Lakini huyu, alipokwisha kutoa kwa ajili ya dhambi dhabihu moja idumuyo hata milele, aliketi mkono wa kuume wa Mungu;’ [14]’*Maana kwa toleo moja amewakamilisha hata milele hao wanaotakaswa.’

Ondoleo la dhambi ndio lililoleta upatanisho wetu na Mungu wetu..sasa Mungu hatuoni tena kama sisi ni wadhambi kwa sababu alishatutakasa kupitia damu ya mwanae Yesu Kristo, haleluya!

Kosa la Adam lilisababisha dhambi iingie, yaani Mungu kuwa adui na sisi...kwa hiyo, Yesu aliondoa hiyo dhambi kwa sisi kupatansishwa tena na Mungu.

Maana yake ni hii...kifo cha Yesu kililipa na kufuta gharama ya Matokeo ya dhambi mara moja na mara ya mwisho katika uzao wote wa Adam, yaani sisi milele.

Na namna alivyofanyika mlango au daraja au sababisho la sisi kupatana na Mungu ni kwa kusababisha Mungu atusamehe sisi.

Usipoelewa kuwa umepatanishwa na Mungu kwa sababu ya Yesu; hakuna namna utamjuwa Mungu anayeweza kutenda jambo jipya katika maisha yako.

Kwa hiyo, Yesu anakuwa ndio MLANGO au anachukuwa taswira ya kuitwa mlango kwa sababu anakuwa sababisho la sisi kupatanishwa na Mungu.

Warumi 5:10 - [10] ‘Kwa maana ikiwa tulipokuwa adui tulipatanishwa na Mungu kwa mauti ya Mwana wake; zaidi sana baada ya kupatanishwa tutaokolewa katika uzima

Kivipi mlango wa kumfikia Mungu na Mungu kutufikia? Kwa sababu hapo mwanzo kabla ya Yesu tulikuwa hatuna nafasi au haki mbele za Mungu...tulikuwa maadui kwa Mungu kwa sababu ya kosa alilolitenda Adam. Mungu alitutenga na yeye...lakini baada Ya Yesu kuja; Yeye alifanyika kuwa mlango wa kumfikia Mungu na Mungu kutusikia sisi.

Yesu hachukuwi tu taswira ya mchungaji; anachukua pia taswira ya MLANGO....kwa hiyo, MLANGO unaozungumziwa hapo ni njia ya kumfikia Mungu au daraja la ‘UPATANISHO LA KUMUONA MUNGU NA MUNGU KUKUSIKIA.’

Kwa hiyo, ukielewa kuwa Yesu ndio mlango wa kondoo unapata tafsiri mbili hapo kuwa Yesu ndiye mlango na sisi ni kondoo....sasa kondoo kwa namna gani?

[9] Mimi ndimi mlango; mtu akiingia kwa mimi, ataokoka; ataingia na kutoka, naye atapata malisho.

Yohana 10:7,9 - [7]Basi Yesu aliwaambia tena, Amin, amin, nawaambieni, Mimi ndimi mlango wa kondoo.

Yesu alijitambulisha au alijiwakilisha kama ‘MLANGO WA KONDOO.’

Tafsiri ya MLANGO kiroho ni nini? Ndio ambacho tunaenda kuangalia hapa.

Knock and it shall be opened to you’; hili neno linamaanisha kwa mtazamo wa kiroho kuelezea kuwa kuna ‘MLANGO.’

Kanuni ya kwanza ni… ‘Bisheni nanyi mtafunguliwa’ sio ombeni ‘nanyi mtapewa.’

Chanzo chake ni rohoni. Kwa hiyo, katika mathayo 7:7 Yesu aliweka kanuni za kumfanya mwanadamu apokee kutoka kwa Mungu.

Lakini kile utakachokipokea rohoni sio kitu cha kushikika...utapokea kanuni au hekima au ufahamu utakao kupa mbinu na uwezo wa kutokeza jambo lile linalotakiwa kutokea ili upokee kitu tofauti katika maisha yako.

Lakini ili upokee kwa sababu Mungu ni roho kile utakachokipokea ni cha kiroho kitakacho dhihirika kimwili.

Hili andiko na haya maneno aliyoyasema Yesu ni kanuni za kumfanya mwanadamu apokee kile anachotakiwa kupokea kutoka kwa Mungu kama Baba yake.

Nataka nifundishe hili somo kwa namna ambavyo Roho Mtakatifu alinieleza na nikaelewa kuhusiana na hii kanuni.

Matthew 7:7 - [7] ‘Ask, and it shall be given you; seek, and ye shall find; knock, and it shall be opened unto…’

Mathayo 7:7 – ‘Ombeni, nanyi mtapewa; tafuteni, nanyi mtaona; bisheni, nanyi mtafunguliwa…’ Katika kiingereza:

 

"In teaching others we teach ourselves"  - Proverb

Have Fun!
The Team at Educator Pages