HOMECover art

 

PROPHET JOACHIM'S TEACHINGS ENGLISH VERSION

http://lectureroom.yooco.org/

lecture_1_what_is_salvation

http://lectureroom.yooco.org/

lecture_room

http://lectureroom.yooco.org/

lecture_3

http://lectureroom.yooco.org/

lecture_4


PAGES  LINK
Best Christian Sites

https://prophetjoachim.educatorpages.com/

pages/best-christian-sites

DARASA UK. 1

https://prophetjoachim.educatorpages.com/

opages/darasa-uk-1

DARASA UK. 2

https://prophetjoachim.educatorpages.com/

pages/darasa-uk-2

DARASA UK. 3

https://prophetjoachim.educatorpages.com/

pages/wanafunzi-wa-kristo-uk-3

DARASA UK. 4

https://prophetjoachim.educatorpages.com/

pages/uk-4

DARASA UK. 5

https://prophetjoachim.educatorpages.com/

pages/uk-5

DARASA UK. 6

https://prophetjoachim.educatorpages.com/

pages/uk-6

DARASA UK. 7

https://prophetjoachim.educatorpages.com/

pages/uk-7

DARASA UK. 8

https://prophetjoachim.educatorpages.com/

pages/uk-8

DARASA UK. 9

https://prophetjoachim.educatorpages.com/

pages/uk-9

DARASA UK. 10

https://prophetjoachim.educatorpages.com/

pages/uk-10

DARASA UK. 11

https://prophetjoachim.educatorpages.com/

pages/darasa-uk-11

 

Holly SPIRIT: 

PROTECT THIS SITE!

 

 

 

 

 

Nabii Joachim Francis (Zion)

 

 

 

KARIBU KATIKA DARASA ZURI TUJIFUNZE HABARI NJEMA YA WOKOVU WETU

Tutajifunza tukizingatia kwa karibu sana kitabu kitakatifu cha BIBLIA. Kwa miongo kadhaa tumeshuhudia upotoshaji mkubwa wa mafundisho ya Bwana wetu Yesu kristo; Yesu kristo alilazimika kumwinua Mtume Paulo kuja kusimika misingi imara zaidi. Katika kanisa la leo, tunataka kuwaona akina Paulo wengi kabisa. 

Upande wa juu hapo utapata kuona mtiririko wa kurasa za darasa la  WANAFUNZI WA KRISTO katika kurasa mbalimbali,  ambazo ni: DARASA Uk.1, Uk. 2, Uk.3, Uk.4 na kuendelea.  Hayo ndiyo masomo yetu ambayo utapaswa kuyazingatia tangu mwanzo hata mwisho wake.

      KATIKA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU...

Tutachambua mambo mbalimbali kwa kina huku tukilinganisha au kutoa 'ufafanuzi' wa mistari mbalimbali ya kibiblia chini ya msaada wa Roho Mtakatifu. Ni lazima hoja zetu, majibu yetu misingi yake iwe ya kibiblia. Hatuwezi kuongozwa na fikra zetu au maoni yetu binafsi katika hoja ambazo  zinahitaji kujegwa na matofali au majibu toka katika NENO LA MUNGU na kwa msaada wa Roho Mtakatifu.

“DARASA LA WANAFUNZI WA KRISTO:  Kwa Njia ya Neema na Kweli ya Kristo...” Chini ya uongozi wa ROHO MTAKATIFU... NI AJABU NA KWELI!

- Prophet Joachim Francis +255743238599

 

MASOMO HAYA YAMEKUSANYWA NA KUANDALIWA KWA MSAADA WA:  ABRAHAM BLESSINGS SAWA NA MAPENZI YA ROHO MTAKATIFU. BAADA YA AWAMU HII YA KWANZA, IPO AWAMU YA PILI YA MAFUNDISHO IKIENDELEA KATIKA MFUMO WA 'AUDIO.' AWAMU YA TATU ITAKUWA NI MAFUNDISHO YATAKAYOENDELEA KATIKA MFUMO WA 'VIDEO.' TUNAAMINI ROHO MTAKATIFU ATATUPA HEKIMA, NGUVU NA UWEZO WA KUYATEKELEZA HAYA KWA NEEMA. AMINA!

- Abraham Blessings, DSM

+255789175797

              Link: contact us       

 

nitaombadaima700@gmail.com

 

Have Fun!
The Team at Educator Pages heart